-
Gavana Otichillo awaonya wanakandarasi dhidi ya utepetevu
Gavana wa kaunti ya Vihiga Dr. Wilbur Otichillo ameagiza kusimamishwa kwa kazi ya mwanakandarasi aliyepatiwa zabuni ya ujenzi wa barabara kwa madai ya kutepetea kazini. ..ups..Amewatahadharisha wengine wanaofanya kazi duni kuwa watachukuliwa hatua sawia. Na katika kaunti ya Kiambu, aliyekuwa mbunge wa Thika Mjini Alice Ngánga ameimarisha miito ya kuharakishwa kwa utekelezaji wa sera mpya za bima ya afya ya kitaifa ili kugharamia matibabu yote ya wagonjwa wa saratani
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive -
MCA wa Karen David Mberia amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani
Mwakilishi wa wadi ya Karen David Mberia amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani au kulipa faini ya shilingi laki saba baada ya kupatikana na hatia ya kupokea honga ya shilingi milioni 1.7 ili kutatua mzozo wa ardhi. Mberia sasa amezuiwa kushikilia wadhifa wa umma
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive -
Kiwango cha maambukizi ya COVID sasa kimepanda
Kiwango cha maambukizi ya Covid-19 humu nchini kimeongezeka hadi asilimia sita baada ya watu 277 zaidi kubainishwa kuwa na virusi vya Korona. Wizara ya afya inasema idadi ya vifo kutokana na ugonjwa huo pia imeongezeka katika muda wa saa 24 zilizopita. Aidha, idadi ya wagonjwa waliolazwa kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi imeongezeka hadi 61
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive -
ICT Cabinet Secretary Mucheru Challenges government information systems to be proactive
Information and Communication Technology Cabinet Secretary Joe Mucheru has challenged government information systems to be more proactive in the dissemination of relevant government information to the public. Mucheru says those charged with the responsibility of relaying government information must ensure accuracy with a view of making the information resonate with its intended audience.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive -
Mahakama imezuia bunge kukubali uamuzi wa ma MCA wa Baringo
Baadhi ya wanachama wa bunge la kaunti ya Baringo wamekosoa uamuzi wa mahakama kuu wa kuzuia bunge kupokea azimio la bunge la kaunti la kukataa mswada wa mwaka 2020 wa marekebisho ya katiba. Wawakilishi hao hata hivyo wamesisitiza kuwa hawana majuto yoyote kwa kukataa mswada huo ambao tayari umewasilishwa bungeni ili kujadiliwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive -
Kenya’s Covid19 infection rate increases as 277 more people test positive
Kenya’s Covid19 infection rate has climbed to 6% after 277 more people tested positive for the disease. According to the latest data released by the Ministry of Health, there has been a significant rise in the number of Covid-19 related fatalities in the last 24 hours. The Ministry says the number of admissions in the Intensive Care Unit has also risen to 61.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive -
Karen MCA David Mberia barred from holding public office
Karen Member of County Assembly David Mberia has been sentenced to 3 years in jail or pay a fine of Ksh700,000 after he was found guilty of receiving a 1.7 million shilling bribe to resolve a land dispute. The Ward Representative has to that effect been barred from holding public office.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive -
Bunge la kaunti ya Nandi limekuwa la pili kukatalia mbali mswada wa BBI
Bunge la kaunti ya Nandi limekuwa la pili kukatalia mbali mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka 2020. Waakilishi wadi 23 walipiga kura ya kupinga mswada huo. Juma lililopita, bunge la kaunti ya Baringo pia liliangusha mswada huo hata ingawa uamuzi huo ulisimamishwa na mahakama kuu. Bunge sasa litaanza kujadili mswada huo juma lijalo. Hii ni baada ya mabunge 30 ya kaunti kuwasilisha kwa maspika wa mabunge ya kitaifa na seneti maazimio yao kuambatana na sheria. Mabunge yote mawili yameazimia kwamba mswada huo ujadiliwe sambamba.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive -
COVID 19 vaccine set to arrive in the country next week
The covid 19 vaccine is set to arrive in the country next week following the ratification of the distribution framework by cabinet. Cabinet in a meeting chaired President Uhuru Kenyatta also ordered for heightened surveillance at all international borders to stem propagation of covid 19 disease. Priority in issuing the vaccine will be given to health care workers and other front line workers including security personnel and teachers, vulnerable persons and groups and hospitality sector workers.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive